Blogu hii inamilikiwa na Huduma ya Ug, Ukombozi Gospel ambayo ni Huduma ya Ualimu wa Neno la Mungu na Kimisheni. Tunalenga kukupasha habari za huduma hii na Mafundisho ya Neno la Mungu au Mahubiri.
Picha za Semina ya Neno la Mungu Kutoka Morombo Arusha Tanzania na Mwalimu Oscar Samba wa Ug Ministry, Somo: MBINU TEULE ZA KUTOKA KWENYE UMASIKINI KWA WATU WALIOKOKA, 7.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni