Jumamosi, 29 Aprili 2017

SHIRIKI BARAKA KWA KUWEZESHA MKUTANO WA SEMINA YA NENO LA MUNGU KWENYE HUDUMA YA UG Inayoongozwa na Mwalimu wa Neno la Mungu Oscar Samba, Itafanyika Kwa Mrombo Mkoani Arusha Tanzania mwezi wa sita mwaka huu. Toa sadaka yako na Mungu atakubariki. Waweza tuma kwa njia ya M-PESA +255 759 859 287


Huduma ya UG, Ukombozi Gosple yaanza kazi rasimi

       Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa katika Kristo Yesu, Ninayofuraha kukutangazia kuwa huduma hii ya Ug, Ukombozi Gosple leo imeanza kazi rasimi.

Kumbuka kuwa huduma hii ni ya Ualimu wa Neno la Mungu na Kitume.
Ila kwa kuanza tutafanya shuhuli za kiualimu na hapo mbeleni ndipo tutaanza za Kitume.

Mfumo wetu wa ufanyaji kazi kwa sasa ni kufanya mikutano ya semina za Neno la Mungu na za ndani makanisani kama tutapata mwaliko kwa kanisa husika.

Mungu akubariki sana na tunahitaji ushirikiano wako.

Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu kiulimwengu, 
Mwalimu Oscar Samba. 
Mkurugenzi Mkuu Kiulimwengu wa Huduma ya Ug, Ukombozi Gosple
 Mwalimu  Oscar Samba.