Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa katika Kristo Yesu, Ninayofuraha kukutangazia kuwa huduma hii ya Ug, Ukombozi Gosple leo imeanza kazi rasimi.
Kumbuka kuwa huduma hii ni ya Ualimu wa Neno la Mungu na Kitume.
Ila kwa kuanza tutafanya shuhuli za kiualimu na hapo mbeleni ndipo tutaanza za Kitume.
Mfumo wetu wa ufanyaji kazi kwa sasa ni kufanya mikutano ya semina za Neno la Mungu na za ndani makanisani kama tutapata mwaliko kwa kanisa husika.
Mungu akubariki sana na tunahitaji ushirikiano wako.
Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu kiulimwengu,
Mwalimu Oscar Samba.
Mkurugenzi Mkuu Kiulimwengu wa Huduma ya Ug, Ukombozi Gosple Mwalimu Oscar Samba. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni