MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA; SABABU 4 ZA WATU WALIOKOKA KUISHI MAISHA MAGUMU. Namo tare 25/9/2016 1.Mapito 2.Hila za Shetani3. Kutokukaa kwenyemkondo wa Baraka 4.Laana/Adhabu au kupigwa na MUNGU.., kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com Pichani ni kwaya ya kanisa ni kwaya ya Kanisa la Zaburi ikiimba |
Mwalimu Oscar Samba akifundisha ujumbe wa Neno la Mungu katika kanisa la zaburi tare 25/9/2016 |
Kwa tabasamu mwanana Mwalimu Oscar akisisitiza Jambo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni