Pichani ni washirika wa kanisa la T.A.G YERUSALEMU wakimsikiliza Mwalimu wa NENO la MUNGU OSCAR SAMBA |
Kwa umakini akisisitiza Jambo, Mwalimu Oscar samba |
Anatilia mkazo jambo |
Mchungaji kiongozi wa Kanisa la T.A.G YERUSALEMU DENISI LACHISILAUSI, akisisitiza jambo ibadani |
Mchungaji Denisi akitetetana wanaye |
MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA DHAMANI YA KUKAA KWENYE UFALUME WA MBINGUNI NA ILIKUWA NI MUENDELEZO WA SOMO LA UZURI WA MBINGUNI, kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni