Alhamisi, 26 Septemba 2019

Wajuwe Mashujaa waliochochea Uamsho wa Injili au Wokovu Masama Mudio, yupo Askofu Emanueli Lazaro, pia Rev. Au Mchungaji Wilson Kimaro, Sehemu ya 3.

Hawa ndi ambao wametajwa au kuwekwa katika mnara maalumu kanisani hapo, na makala nyingine zijazo au dodoso zijazo zitaendelea kuwaibua wengineo ikiwemo Wamisheni !


Eneo hili la modio Masama kipondi hicho cha mwaka 1959 kuanzia mwezi wa 12 kuna maajabu makubwa ya kiroho yalitokea, (kama sehemu zijazo zinenevyo,) na hawa ndio washirika na watendaji wa mwazoni kabisa.



1. Askofu Imanueli Kundandumi Mwasha( Askofu Lazaro.)
2. Mrs. Evagrace Imanueli.
3. Rev. Wilson B. Kimaro.
4. Firyandian Kundandumi.
5. Nkira Aranya Bartolomayo

6. Penueli Munishi
7. Mrs. Ndeshenya Penueli.
8.  Bartolomayo Kimaro.
9. Sikustaili Andrea.
10. Mrs. Idimaeli Sikustaili.
11. Sifaeli Marthias Ng'andu. ( Mdogowake na Askofu Lazaro.)
12. Paulo Mashange.
13. Elizabeth Paulo.
14. Akaushia Paulo.
15. Obedi Mwasha.
16. Emelini Mushi.
17. Yakobo Ringo. ( Huyu ndie ndugu yake ana Askofu upande wa mjomba aliyetoka naye Arusha na kuuleta moto wa Uamsho naye.)
18. Dina Yakobo.
19. Rabieli Mseu.
20. Eshimendi Rabieli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni