Jumanne, 24 Septemba 2019

TUNAENDELEA NA HISTORIA NA DODOSO LA WOKOVU KIPINDI CHA ASKOFU LAZARO HUKU MUDIO MASAMA. Sehemu ya 2.


Kumbuka kuwa hili ndilo eneo ambalo ni chimbuko la wokovu kwa makanisa megi kanda ya Kaskazini na chazo cha uzalishaji wa matumishi wengi kama sehemu yetu ya tatu ishuhudiavyo kwa nchi Nzima !



Hapa ndipo ambapo Askofu alinusurika kufa kwa kutaka kupigwa na watu wa kanisa  fulani kama linavyoonekana kwa mbali.
Ambapo hilo ndilo kanisa kengele iliwahi kugongwa na wanakijiji au watu kukusanyana ! Nia yao ilikiwa ni kumuangamiza !

Unaambiwa kuwa askari walikuja, na zogo lilikuwa ni kubwa, hadi askari kushindwa kumuokoa ( kama kitabu chake kimoja wapo kisemavyo,) cha ajabu Mungu aliwapiga upofu na wao kushindwa kumuona, na akatoka katikati yao na kuondoka !

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni