Jumapili, 4 Desemba 2022
Neno la Leo Jumapili
Neno la Leo
Zaburi 127:5 Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.
Maana yake Heri au Amebarikiwa mtu yule ambaye podo lake limewekwa mishale kwa ajili ya vita ama silaha
Hataogopa adui zake inapofika majira ya msimu mpya (langoni) au anapohitahi mpenyo fulani au kuvuka ktk eneo fulani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni