Jumanne, 11 Novemba 2025

Ufunuo Dhidi ya UTAWALA

Mimina Kitasa yaani Pigo Juu ya Utawala, au Ufalme Usioutaka yaani Uliodhalimu...

Ufunuo wa Yohana 16:1 Nikasikia sauti kuu kutoka hekaluni, ikiwaambia wale malaika saba, Enendeni, mkavimimine vile vitasa saba vya ghadhabu ya Mungu juu ya nchi. 

10 Na huyo wa tano akakimimina kitasa chake juu ya kiti cha enzi cha yule mnyama; ufalme wake ukatiwa giza; wakatafuna ndimi zao kwa sababu ya maumivu.

Waombaji Wana nafasi Kubwa Sana ya Kuleta Mabadiliko Ktk Mifumo ya Uongozi Kwenye Maeneo Mbalimbali.

Mifumo inapoharibika suluhu na hatima ipo kwa waombaji. Habakuki aliacha kulalamika. Hatimaye akaleta mabadiliko...simama ktk zamu yako hivi leo...na ulisaide Taifa lako....dhehebu, nchi, taasisi... kampuni na kadhalika.

Mimina Kitasa....fanya maombi ya muda mrefu ya kufunga na kuomba.... achilia KITASA yaani pigo juu ya huo Utawala..nao UTATIWA GIZA..

ASANTE Sana... Zaidi Follow Chaneli Yetu ya Wasapu: 

Follow the #Mwalimu Oscar Samba Mafundisho Ya Neno La Mungu channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Va827LBJENy9u6Enke1h

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni