Alhamisi, 6 Oktoba 2016

PICHA ZA MWALIMU OSCAR SAMBA AKIFUNDISHA KANISA LA ZABURI MAKUYUNI

MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA; SABABU 4 ZA WATU WALIOKOKA KUISHI MAISHA MAGUMU. Namo tare 25/9/2016
1.Mapito 2.Hila za Shetani3. Kutokukaa kwenyemkondo wa Baraka 4.Laana/Adhabu au kupigwa na MUNGU.., kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com

Pichani ni kwaya ya kanisa ni kwaya ya Kanisa la Zaburi ikiimba
Mwalimu Oscar Samba akifundisha ujumbe wa Neno la Mungu katika kanisa la zaburi tare 25/9/2016

 Kwa tabasamu mwanana Mwalimu Oscar akisisitiza Jambo






PICHA Mwalimu OSCAR SAMBA akifundisha katika kanisa la TAG YERUSALEMU MOROMBO ARUSHA

Pichani ni washirika wa kanisa la T.A.G YERUSALEMU wakimsikiliza Mwalimu wa NENO la MUNGU OSCAR SAMBA

Kwa umakini akisisitiza Jambo, Mwalimu Oscar samba

Anatilia mkazo jambo






Mchungaji kiongozi wa Kanisa la T.A.G YERUSALEMU DENISI LACHISILAUSI, akisisitiza jambo ibadani

Mchungaji Denisi akitetetana wanaye

MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA DHAMANI YA KUKAA KWENYE UFALUME WA MBINGUNI NA ILIKUWA NI MUENDELEZO WA SOMO LA UZURI WA MBINGUNI, kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com

KARIBU KWENYE BLOGU YA HUDUMA YA UKOMBOZI GOSPLE

LENGO LETU NI KUTOA HABARI ZA NENO LA MUNGU KATIKA HUDUMA YA UKOMBOZI GOSPLE AMBAYO NI HUDUMA YA UALIMU NA UTUME,

MKURUGENZI WA HUDUMA HII NI MWALIMU OSCAR SAMBA