Ujumbe wa Mkutano huu ulikuwa ni UPENDO WA MUNGU KWA MWANADAMU
Tukuongozwa na Andiko la Yohana 3:16.
Tazama Baadhi ya Picha za Matukio
|
Picha hii na Zifanazo na hii ni Watu Waliotoka kwa Ajili ya Kuokoka na Maombezi |
|
Picha hii na hiyo tangulizi hapo juu ni Waimbaji wakiimba Wimbo wa Kichaga na Kucheza "Iriingi". |
|
Watoto nao Walikwepo Kwenye Mkutano |
|
Wakubwa kwa Wadogo kwenye Mkutano |
|
Kwaya ya Kanisa la Tag Mokala,a b(kwaya ya Tag Maharo nayo Iliimba ila Picha yake haikupatikana kwa Haraka ila Video ipo) |
|
Adhira naWAbudishaji wakiabudisha |
a
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni