Ijumaa, 10 Aprili 2026
Falsafa ya Mwalimu Oscar Samba ya Kuwa Marehemu Anayeishi
Kijana Mmoja Akaniuliza; Mwalimu Nini Siri ya Mafanikio Yako ? Nataka Kuwa Mwalimu Mzuri Kama wewe.
Nami Nikamjibu, "Mimi ni Marehemu Anayeishi." Kuna Watu Wengine Ukiishi Nao, Ukiwa Hai, Watakuuwa: Suluhu Ni Kuwa Marehemu Anayeishi.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)
