Jumanne, 11 Novemba 2025

Heri Alitunzaye Vazi Lake

Uwokovu ni Vazi. Je, Unautunza Wokovu wako?

Nikuite Moyo hivi Leo kutokuendelea kucheza na Dhambi. Tunza wokovu, linda vazi lako. Yesu yu karibu kuja. Anakuja kulinyakuwa kanisa lake..

Ufunuo wa Yohana 22:13 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho. 

14 Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake. 

15 Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya. 

16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi. 

Na kama hujaokoka, nikutie moyo kufanya vivyo punde...

Sema pamoja Nami; MUNGU BABA, NINAKUPENDA, NIMETAMBUA YA KUWA MIMI NI MDHAMBI. NISAMEHE SASA: Amina..

Hongera kwa kuokoka na Tafadhali Tafuta Kanisa la Watu waliokoka Ukasali hapo...

Asanteni Sana: Tafadhali nikusihi Tena Kutufolo katika Chaneli Yetu ya Wasapu:

Follow the Mwalimu Oscar Samba Mafundisho Ya Neno La Mungu channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Va827LBJENy9u6Enke1h

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni