Jumamosi, 29 Aprili 2017
Huduma ya UG, Ukombozi Gosple yaanza kazi rasimi
Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa katika Kristo Yesu, Ninayofuraha kukutangazia kuwa huduma hii ya Ug, Ukombozi Gosple leo imeanza kazi rasimi.
Kumbuka kuwa huduma hii ni ya Ualimu wa Neno la Mungu na Kitume.
Ila kwa kuanza tutafanya shuhuli za kiualimu na hapo mbeleni ndipo tutaanza za Kitume.
Mfumo wetu wa ufanyaji kazi kwa sasa ni kufanya mikutano ya semina za Neno la Mungu na za ndani makanisani kama tutapata mwaliko kwa kanisa husika.
Mungu akubariki sana na tunahitaji ushirikiano wako.
Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu kiulimwengu,
Mwalimu Oscar Samba.
![]() |
| Mkurugenzi Mkuu Kiulimwengu wa Huduma ya Ug, Ukombozi Gosple Mwalimu Oscar Samba. |
Alhamisi, 6 Oktoba 2016
PICHA ZA MWALIMU OSCAR SAMBA AKIFUNDISHA KANISA LA ZABURI MAKUYUNI
| MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA; SABABU 4 ZA WATU WALIOKOKA KUISHI MAISHA MAGUMU. Namo tare 25/9/2016 1.Mapito 2.Hila za Shetani3. Kutokukaa kwenyemkondo wa Baraka 4.Laana/Adhabu au kupigwa na MUNGU.., kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com Pichani ni kwaya ya kanisa ni kwaya ya Kanisa la Zaburi ikiimba |
| Mwalimu Oscar Samba akifundisha ujumbe wa Neno la Mungu katika kanisa la zaburi tare 25/9/2016 |
Kwa tabasamu mwanana Mwalimu Oscar akisisitiza Jambo
PICHA Mwalimu OSCAR SAMBA akifundisha katika kanisa la TAG YERUSALEMU MOROMBO ARUSHA
| Pichani ni washirika wa kanisa la T.A.G YERUSALEMU wakimsikiliza Mwalimu wa NENO la MUNGU OSCAR SAMBA |
| Kwa umakini akisisitiza Jambo, Mwalimu Oscar samba |
| Anatilia mkazo jambo |
| Mchungaji kiongozi wa Kanisa la T.A.G YERUSALEMU DENISI LACHISILAUSI, akisisitiza jambo ibadani |
| Mchungaji Denisi akitetetana wanaye |
MWALIMU OSCAR ALIFUNDISHA KUHUSU SOMO LA DHAMANI YA KUKAA KWENYE UFALUME WA MBINGUNI NA ILIKUWA NI MUENDELEZO WA SOMO LA UZURI WA MBINGUNI, kwa dondoo za somo hilo endelea kutufwatilia hapa www.ukombozigosple.blogspot.com
KARIBU KWENYE BLOGU YA HUDUMA YA UKOMBOZI GOSPLE
LENGO LETU NI KUTOA HABARI ZA NENO LA MUNGU KATIKA HUDUMA YA UKOMBOZI GOSPLE AMBAYO NI HUDUMA YA UALIMU NA UTUME,
MKURUGENZI WA HUDUMA HII NI MWALIMU OSCAR SAMBA
MKURUGENZI WA HUDUMA HII NI MWALIMU OSCAR SAMBA
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

