Jana Ndivyo Tulivyoanza Mkutano wetu wa 20 hapa Ubaa Posta ya Zamani au Mahakama ya Mwanzo Rombo.
Hakika Sijawahi kuona mkutano wenye mwitikio mkubwa km huu! Watu wa Ubaa Hongereni. Nitajitahidi kuhifadhi matukio vyema km nitajaliwa. #Pia_tafadhali_Endelea_Kutuombea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni