KURASA

Jumamosi, 20 Septemba 2025

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba MACHOZI HUONGEA


 Kama Damu Inaongea/Inanena; Vivyo Hivyoo na Machozi


By Mwalimu Oscar Samba

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba: Kumbukumbu ya Machozi


 Ni Kweli Leso Inafuta Machozi; ila Kumbuka Inahifadhi pia Machozi

By Mwalimu Oscar Samba