KURASA

Alhamisi, 30 Januari 2025

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba KUMSIKIA MUNGU UNAPOKUWA KATIKA PITO AU MAUMIVU MAKALI.

 

Katikati ya Maumivu Makali, Isikilize Sauti ya Mungu.
Kitu Ambacho Adui Anatamani ni Kukufanya Usimsikie Mungu

By Mwalimu Oscar Samba

Jumanne, 21 Januari 2025

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba KANISA na DHIMA Ya Kuwa Hospitali au Mochwari

Kanisa Likipoteza Dhima ya Kuwa Hospitali; Ni Linajiandaa Kuwa Mochwari

By Mwalimu Oscar Samba

 

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba KALAMU YA HISTORIA

 

Usiongeze, Wala Kupunguza Wino Kwenye Kalamu ya Historia ya Maisha Yako. Uliopo Unatosha.

By Mwalimu Oscar Samba


Jumatatu, 13 Januari 2025

Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba CHANGAMOTO DHIDI YA MTAZAMO WA ADUI NA MUHUSIKA

 

Kuna Mlima wa Kuing'oa na Kuutupa Baharini, na Kuna Mlima wa Kuuzunguka Upite.

Tunza Hili Daima...sio Kila Tatizo Lazima Liondoke...Mengine Yakwepe.

By Mwalimu Oscar Samba


Nukuu ya Mwl Oscar Samba: Hekima Katika Majaribu au Changamoto za Kimaisha



 Kuna Mlima wa Kuing'oa na Kuutupa Baharini, na Kuna Mlima wa Kuuzunguka Upite.

Tunza Hili Daima...sio Kila Tatizo Lazima Liondoke...Mengine Yakwepe.


By Mwalimu Oscar Samba

Nukuu ya Mwl Oscar Samba: KUGEUZA CHANGAMOTO KUWA FURUSA KATIKA MAWAZO

 

Ni Ushujaa wa Kifikra, Kugeuza Kelele za Adui; Kuwa Mashangilio. 

By Mwalimu Oscar Samba



Alhamisi, 2 Januari 2025

Neno la Leo

Habakuki 3:19 YEHOVA, aliye BWANA, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka


Visti www.ukombozigospel.blogspot.com

Jumatano, 1 Januari 2025

Kalamu ya Historia na Nukuu ya Mwalimu Oscar Samba

Kalamu ya Kuandika Historia, Ina Wino Mwingi Sana. Kwa Hiyo, Usigonge Kichwa cha Kalamu.

By Mwalimu Oscar Samba 

Unapaswa Kuvumilia Hadi Wino Uishe. .. _Ukigonga Kichwa Itagoma Kuandika na Utajidanganya Wino Umeisha_ ....

For More Keep In Visiting

www.ukombozigospel.blogspot.com